Hivi ni kikundi au vikundi vya watu 20 hadi 30 hivi wanaofahamiana ambao wameamua kuunda kikundi ili kupata huduma za mafunzo mbalimbali, huduma za fedha na kuwekeza miradi ya pamoja kwa urahisi na kwa gharama ...
UtanguliziMakala haya yamelenga katika kusaidia vikundi vidogo vidogo vya aina tofauti kuanzia zile za kiuchumi, kijamii, kielimu, kitaaluma, kidini na kikabila nk. Ni matumaini yangu kuwa makala hii haitatum...