Katika maisha yangu nimejifunza yafuatayoKama huelewi, sikiliza tu
Kama huelewi, soma tuJifunze kusikiliza wengine hata kama huelewi au kusoma unachotakiwa kusoma hata kama huelewi.Niliwahi kuf...
Stadi za Maisha ni ujuzi ambao sio rahisi watoto au vijana wapate kupitia mitaala ya kawaida darasani au vyuoni. Ni ujuzi wa asili ambao mtoto au kijana anaupata katika mazingira yake ya asili (Hapo anapoishi)....
Maana na TafsiriMuda ni rasilimali isiyoshikika lakini yenye dhamani kubwa sawa na maisha ya mtu. Muda ni rasilimali zaidi ya mali na pesa.Duniani kuna rasilimali za aina kuu nneFedha
Vitu tunav...