Barua ya Maombi ya Kazi Kupitia Email (Barua Pepe)
UtanguliziKuelekea maendeleo ya sayansi na teknolojia na hasa kwenye nyanja ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) makampuni na waajiri wengi sasa wanataka maombi ya kazi yafanywe kwa email au barua ...