Wasifu wa Kampuni ni muhstasari wa maelezo ya msingi unaoitambulisha kampuni kwa uma. Wewe fikiria ingekuwa wewe unaitafuta kampuni ikufanyie kazi yako ungependa kupata taarifa zipi?Nafikiri ungependa kujua y...
Yafuatayo ni sehemu muhimu ya mchanganuo wa biashara: Kasha la nje: Sehemu ya kichwa cha mchanganuo wa biashara,
WAZO LA BIASHARA (AU MUHSTASARI), YALIYOMO (Orodhesha sehemu muhimu tu katika mchanganuo wako)
nk.
UtanguliziMafanikio ni hali ambayo kila mtu anapenda kuwa nayo na kuyafikia kila mara. Mafanikio humfanya mtu afarijike, ajisikie yuko salama, afurahi na kusonge mbele kwa ujasiri zaidi. Mafanikio humfanya mh...
UTANGULIZIKuanzia tarehe 1 Februari 2018 BRELA ilitangaza kuanza kutumika kwa mfumo wake wa kuwawezesha wamiliki wa makampuni kusajili na kuwasilisha returns BREAL. Pia BRELA ilishatangaza kwamba mnamo tarehe...
Ninafanya na kufundisha namna rahisi ya kuandika mchanganuo wa biashara kuanzia zile za biashara ndogondogo mpaka biashara kubwa.Taarifa muhimu za kuambatanisha niMakisio ya Mauzo ya Mwaka - Turnover...
Benki ni mkopeshaji mkubwa na mgumu kwa mazingira ya Tanzania. Pamoja na hayo benki wana masharti maalumu ambazo nazo hutofautiana kulingana na nani anakopa, anaokopa kiasi gani na kwa ajili ya biashara ipi na ...
Hatua 26 za kuanzisha biashara ni nyingi kulingana na hali halisi ya mfanyabiashara kuanzia utayari wa kisaikolijia, uwezo na udhaifu, ujuzi wa biashara husika utadhmini nk.
Mpango wa biashara wengine wanauita mchanganuo wa biashara sio kitu kigumu sana kama ukipenda kurahisisha.Mpango wa biashara ni maelezo ya kina ambayo inaonyesha biashara yako ilikotoka, inakokwenda, hali ya ...
Lemburis Kivuyo amekuwa akitoa ushauri wa biashara na ujasiriamali tangu mwaka 2005, kutengeneza mchanganuo au mpango wa biashara ni sehemu ya kazi yake anazozifanya nchini Tanzania.Kama wewe una biashara a...
UtanguliziKuelekea maendeleo ya sayansi na teknolojia na hasa kwenye nyanja ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) makampuni na waajiri wengi sasa wanataka maombi ya kazi yafanywe kwa email au barua ...
UtanguliziUchimbaji wa madini ni kuyatoa madini kutoka ndani ya ardhi kuja nje na kuyapa dhamani kwa kukata (vito vya dhamani) au kusafisha (metali) kwa ajili ya matumizi ya binadamu. Uchimbaji wa madini inah...
Ili kuanzisha na kusajili Shule yenye ubora unaostahili wadau hawana budi kufuata hatua mbalimbali kama zilivyoainishwa kwa kina katika “Mwongozo wa Usajili wa Shule wa mwaka 1982”. Kwa kifupi hatua hizo ni ka...