Mafunzo ya Masoko Kwa Wafanyabiashara Wadogo: Dhana ya masoko, Hatua za kufuata katika kutekeleza utafutaji wa masoko, Kalenda-Mpango wa kufanya masoko
Yafuatayo ni sehemu muhimu ya mchanganuo wa biashara: Kasha la nje: Sehemu ya kichwa cha mchanganuo wa biashara,
WAZO LA BIASHARA (AU MUHSTASARI), YALIYOMO (Orodhesha sehemu muhimu tu katika mchanganuo wako)
nk.
Hatua 26 za kuanzisha biashara ni nyingi kulingana na hali halisi ya mfanyabiashara kuanzia utayari wa kisaikolijia, uwezo na udhaifu, ujuzi wa biashara husika utadhmini nk.
Njia za kupata Mtaji wa biashara: Baada ya kuamua kuingia katika ujasiriamali, sasa unahitaji mtaji wakufanyia na kukuzia biashara yak. Swali, wapi utapata huo mtaji nk. Mlolongo huu hapa chini utakusaidia kujua ni wapi utapata huo mtaji wa biashara