Kitabu cha matumizi

Kitabu cha matumizi

Kitabu cha matumizi ni mojawapo ya vitabu muhimu sana sana itakayokuwezesha kujua kwa hakika kiasi gani cha fedha inatoka katika biashara yako.  Sambamba na mapato, biashara yeyote hutumia fedha kwa ajili ya ma...
Kitabu cha mikopo

Kitabu cha mikopo

Kitabu cha mikopo ni muhimu ili kutunza kumbukumbu zote za mikopo, kama umechukua mkopo kutoka kwa rafiki, ndugu, kijijini, serikalini, taasisi yeyote ya kukopehsa au benki, rekodi hapa chini ili uweze kufuatil...
Vitabu vya Fedha

Vitabu vya Fedha

Utunzaji wa Vitabu vya Fedha Utanzaji ni nini? Kuweka vizuri visiibwe, visiharibike, visiharibiwe, vikitakiwa vipatikane kwa haraka nkKama neno linavyosema “vitabu vya fedha” ni moyo wa biashara yako. Vik...
Kitabu cha madeni

Kitabu cha madeni

Japokuwa hutakiwi kukopesha hovyo hovyo, lakini tafiti zinaonyesha kuwa biashara inayozungusha sana mtaji na faida ni ile inayokopesha kwani wateja hupenda kununua sana kwa mfumo huu wa kukopesha. Rekodi madeni...
Mafunzo ya Ujasiriamali

Mafunzo ya Ujasiriamali

Ujasiriamali ni nini?Kuna tafsiri nyingi za ujasiriamali lakini zote zinaleta kwenye maana moja ya kugundua au kubuni biashara yenye faida na kuifanyaTafsiri mbalimbaliUjasiriamali ni kukabiliana na ...