Hatua 10 Rahisi za Kusajili Biashara Kupitia Website ya BRELA
UTANGULIZIKuanzia tarehe 1 Februari 2018 #BRELA ilitangaza kuanza kutumika kwa mfumo wake wa kuwawezesha wamiliki wa makampuni na biashara kusajili na kuwasilisha returns BRELA. Pia BRELA ilishatangaza kwamba...