Umuhimu wa Ukaguzi wa Hesabu za Taasisi / Kampuni
Ukaguzi ni utaratibu wa kuyapitia mahesabu ya taasisi ili kuona kuwa pesa zimetumika sawasawa na makusudio yake. Ili kuona kama tamaduni na nidhamu ya matumizi ya fedha yalizingatiwa na kufuatwa.Mahesabu yana...