Notice: Undefined index: name in /home/jewajua/ujasiriamali.co.tz/wp-content/plugins/caldera-forms/classes/render/modals.php on line 164
Notice: Undefined index: name in /home/jewajua/ujasiriamali.co.tz/wp-content/plugins/caldera-forms/classes/core.php on line 4383
Notice: Undefined index: name in /home/jewajua/ujasiriamali.co.tz/wp-content/plugins/caldera-forms/classes/render/modals.php on line 164
Notice: Undefined index: name in /home/jewajua/ujasiriamali.co.tz/wp-content/plugins/caldera-forms/classes/core.php on line 4383
Mpangilio wa kuandika andiko la mradi [Format = Framework for Proposal writing]
- Wasifu na maelezo ya awali ya mradi
- Maelezo ya kihistoria ya mradi
- Taarifa za chanzo cha mradi na sababu muhimu za kuanzishwa kwake
- Malengo, Madhumini, viashiria na shughuli na majukumu yote kwa mpangilio juu ya mradi
- Usimamizi wa mradi
- Uchambuzi wa wadau wa mradi
- Masuala mtambuka katika jamii ya walengwa wa mradi
- Ufuatiliaji na Tathimini ya mradi
- Mpango wa Uendelevu wa Mradi kifedha na kitaasisi
- Bajeti ya mradi mzima ikionyesha michango ya wadau
NB: Jambo la Kuzingatia: Mpangilio huu sio sheria kwa kuwa kila mfadhili anaweza kuhitaji andiko la mradi kwa mpangilio wake wowote anao uhitaji. Tena mhisani anaweza kupunguza baadhi ya vipengele ama kuongeza zaidi kwa lengo zuri tu.
Mwisho (End):
Kama umependa makala hii weka maoni yako ya shukrani hapo chini au washirikishe marafiki zako wa kwenye Facebook, Instagram, Linkedin, Whatsapp, Twitter na kwenye email au mitandao mingine ya kijamii. Wasiliana nasi kama unataka kuweka kwenye blogu au website yako kwa maelekezo zaidi
If you found this article helpful please leave the comment below or share to your friends in Facebook, Instagram, Linkedin, Whatsapp, Twitter and in email or other social media. Contact us if you plan to list in your blog or website for further instructions.
English Form | Fomu ya Kiswahili |
Habari Mr Kivuyo kiukweli unaelekeza vizuri na mtu kama wewe ndo nikikutafuta muda mrefu, shida yangu kubwa nikupata mifano mbalimbali ya proposal za NGOs, sababu nna ndoto kubwa ya kumiliki ngo ya afya na ije kuwa logo ulimwenguni mfano wa ngo mbalimbali kama amref, boresha afya na wengi neo. kuhusu jina la ngo liko very clear