Register

nineteen − 8 =

A password will be e-mailed to you.

Notice: Undefined index: name in /home/jewajua/ujasiriamali.co.tz/wp-content/plugins/caldera-forms/classes/render/modals.php on line 164

Notice: Undefined index: name in /home/jewajua/ujasiriamali.co.tz/wp-content/plugins/caldera-forms/classes/core.php on line 4383

Notice: Undefined index: name in /home/jewajua/ujasiriamali.co.tz/wp-content/plugins/caldera-forms/classes/render/modals.php on line 164

Notice: Undefined index: name in /home/jewajua/ujasiriamali.co.tz/wp-content/plugins/caldera-forms/classes/core.php on line 4383

Mafunzo (elimu) ya Masoko Kwa Wafanyabiashara Wadogo NdurumaYafuatayo ni dondoo fupi ya namna ya kufundisha Mafunzo (elimu) ya Masoko Kwa Wafanyabiashara au wajasiriamali wadogo wadogo, (wafanya biashara wadogowadogo). Imeanza na kutathmini hali ya sasa, dhana ya masoko, taarifa za wateja, hatua za kuchukua ili kutekeleza zoezi la kutafuta masoko, kalenda ya kufanya masoko, njia za kuwafikia walengwa, kutekeleza utafutwaji wa masoko na mwisho ni kutathmini kama zoezi linaleta matokeo tarajiwa au la kupitia  ripoti na taarifa mbalimbali .

Majadiliano: Mwezeshaji na wawezeshwaji

  1. Wanauza wapi, nini, lini?
  2. Mafanikio
  3. Changamoto
  4. Maoni

Dhana ya masoko

    1. Vichwa (Leads) (watu wote wanaoijua biashara yako japo hawajaanza kununua kutoka kwako)
    2. Wateja wapya(watu wote walioanza kununua kutoka kwako)
    3. Wateja wa kudumu (watu wote wanaonuanua kutoka kwako mara kwa mara)
    4. Huduma kwa wateja – Huduma nzuri kwa wateja ili warudi tena kununua kutoka kwako

Taarifa za wateja (customer’s database)

Jina, simu, barua pepe, tovuti, shughuli yake nk

Hatua za kufuata katika kutekeleza utafutaji wa masoko

    1. Kuchambua wateja wako kwa maana ya matakwa na mahitaji yao, uwezo wao wa kununua, miiko yao, wako wapi, wangapi, umri, dini, jinsia nk

Kalenda-Mpango wa kufanya masoko

Tarehe – Shughuli, Kusudi – Mahitaji – Bajeti Mhusika-

Njia kuu za kuwafikia walengwa

    1. Radio
    2. TV
    3. Magazeti
    4. Mikutano/kongamano/warsha/semina
    5. Tovuti (website)
    6. Gari la matangazo
    7. Mabango
    8. Vipeperushi/vitabu/majarida/Makala/Kadi nk
    9. Kutembelea ofisini/nyumbani

Utekelezaji

    1. Weka ratiba ya kufanya kimkakati

 i. Mfano: utaanza wapi na utaishia wapi?
 ii. Utaanza na njia gani?

    1. Anza na majaribio
    2. Endelea na njia bora

Mwisho (End):

Kama umependa makala hii weka maoni yako ya shukrani hapo chini au washirikishe marafiki zako wa kwenye Facebook, Instagram, Linkedin, Whatsapp, Twitter na kwenye email au mitandao mingine ya kijamii. Wasiliana nasi kama unataka kuweka kwenye blogu au website yako kwa maelekezo zaidi

If you found this article helpful please leave the comment below or share to your friends in Facebook, Instagram, Linkedin, Whatsapp, Twitter and in email or other social media. Contact us if you plan to list in your blog or website for further instructions.

__________________________________________________
We offer but not limited to the following:
Business Office Documents Development, Company Registration, Business Plan Development, Curricula Development for colleges, Office Digitization Consultancy, Online Presence and Marketing Consultancy, Leadership and Management Consultancy, Constitution Development  and much more

English Form

Fomu ya Kiswahili


About The Author

Lemburis Kivuyo is a Busi­ness, IT and Com­mu­nity Related Project Consultant. Specialized in Business Establishment, Leadership training, Online Marketing, Small groups and teams leadership and management, Curriculum Development, Constitution development and much more.

Related Posts

Leave a Reply