Notice: Undefined index: name in /home/jewajua/ujasiriamali.co.tz/wp-content/plugins/caldera-forms/classes/render/modals.php on line 164
Notice: Undefined index: name in /home/jewajua/ujasiriamali.co.tz/wp-content/plugins/caldera-forms/classes/core.php on line 4383
Notice: Undefined index: name in /home/jewajua/ujasiriamali.co.tz/wp-content/plugins/caldera-forms/classes/render/modals.php on line 164
Notice: Undefined index: name in /home/jewajua/ujasiriamali.co.tz/wp-content/plugins/caldera-forms/classes/core.php on line 4383
Ninafanya na kufundisha namna rahisi ya kuandika mchanganuo wa biashara kuanzia zile za biashara ndogondogo mpaka biashara kubwa.
Taarifa muhimu za kuambatanisha ni
- Makisio ya Mauzo ya Mwaka – Turnover
- Makisio ya mtaji wa kuanzia – Startup capital- Hii ni gharama ya kufanyia matumizi/manunuzi ya kabla ya bishara kuanza kufanya kazi. Mfano, kusajili biashara/kampuni, gharama za kuandika mpango wa biashara, stationary na uchapaji, usafiri nk
- Idadi ya bidhaa au huduma utakazouza kupata mapato – Number of products or services
- Namba ya miaka ya Mchanganuo wa Biashara (miaka 3 au miaka 5 nk) – Business Plan Duration in years (3 years or 5 years etc)
Gharama/bei za kuandika Mchanganuo wa biashara inaweza sasa kukokotolewa na kikokotozi ambatanishwa:
NB:
- Biashara ndogondogo ni zile zenye mtaji wa TZS 0 mpaka Mil 5
- Biashara ndogo ni zile zenye mtaji wa TZS mil 10 mpaka Mil 50
- Biashara za kati ni zile zenye mtaji wa TZS mil 50 mpaka Mil 500
- Biashara kubwa ni zile zenye mtaji wa TZS mil 500 kuendelea
Taarifa zote za kisekta na fedha zinatolewa na mteja
Mwisho (End):
Kama umependa makala hii weka maoni yako ya shukrani hapo chini au washirikishe marafiki zako wa kwenye Facebook, Instagram, Linkedin, Whatsapp, Twitter na kwenye email au mitandao mingine ya kijamii. Wasiliana nasi kama unataka kuweka kwenye blogu au website yako kwa maelekezo zaidi
If you found this article helpful please leave the comment below or share to your friends in Facebook, Instagram, Linkedin, Whatsapp, Twitter and in email or other social media. Contact us if you plan to list in your blog or website for further instructions.
English Form | Fomu ya Kiswahili |
Leave a Reply