Notice: Undefined index: name in /home/jewajua/ujasiriamali.co.tz/wp-content/plugins/caldera-forms/classes/render/modals.php on line 164
Notice: Undefined index: name in /home/jewajua/ujasiriamali.co.tz/wp-content/plugins/caldera-forms/classes/core.php on line 4383
Notice: Undefined index: name in /home/jewajua/ujasiriamali.co.tz/wp-content/plugins/caldera-forms/classes/render/modals.php on line 164
Notice: Undefined index: name in /home/jewajua/ujasiriamali.co.tz/wp-content/plugins/caldera-forms/classes/core.php on line 4383
Usajili wa Kampuni Yenye Hisa Zaidi ya 50m | |
Maelezo | Kiasi |
Gharama za BRELA | |
1. Hisa kati ya | |
a. 20k-1m – TZS.95,000 | |
b. 1-5 m– TZS.175,000 | |
c. 5-20m– TZS.260,000 | |
d. 20-50m– TZS.290,000 | |
e. >50m – – TZS.440,000 | 440,000.00 |
2. Kampuni isiyo na hisa =TZS. 300,000 | |
1. Ada ya kuhifadhi nyaraka | 72,200.00 |
Jumla | 512,200.00 |
Gharama za Ushauri | |
2. MemArts kwenye mfumo wa pdf | 100,000.00 |
3. Muhuri wa mwanasheria wa uma | 150,000.00 |
4. Gharama za ushauri TZS. 200,000 + | |
a. 20k-1m – TZS.100,000 | |
b. 1-5 m– TZS.200,000 | |
c. 5-20m– TZS.250,000 | |
d. 20-50m– TZS.300,000 | |
e. >50m – – TZS.500,000 | 700,000.00 |
f. Kampuni isiyo na hisa= 150,000.00 | |
5. Ufuatiliaji na dharura | 400,000.00 |
Jumla | 1,350,000.00 |
Jumla Kuu | 1,862,200.00 |
Gharama za usajili wa kampuni BRELA kwa ufupi ni
- Gharama za usajili wa kampuni ndogo ya chini hisa za Shs milioni ni Shs. 1,117,200
- Gharama za usajili wa kampuni ya kati hisa za Shs milioni 1 hadi milioni 5 ni Shs. 1,297,200
- Gharama za usajili wa kampuni ya kati hisa za Shs milioni 5 hadi milioni 20 ni Shs.1,432,200
- Gharama za usajili wa kampuni ya kati hisa za Shs milioni 20 hadi milioni 50 ni Shs.1,512,200
- Gharama za usajili wa kampuni ya kati hisa za zaidi ya Shs milioni 50 ni Shs. 1,862,200
- Gharama za usajili wa kampuni isiyo na hisa ni Shs. 1,372,200
- Gharama za usajili wa jina la biashara ni Shs. 80,000
Hatua saba (7) muhimu za kufuata wakati wa kufanya usajili wa kampuni au jina la biashara
- Kulipia angala 60% ya malipo yote, Kutuma taarifa zinazotakiwa (taarifa za kampuni, wenye hisa, wakurugenzi, katibu, hisa nk) – siku ya kwanza
- Utengenezaji wa nyaraka muhimu za usajili na kupigwa muhuri wa mwanasheria – siku ya pili
- Kuanza mchakato wa maombi masafa na kupakia taarifa kwenye mtandao – siku ya tatu
- Kufanya malipo ya usajili BRELA na kutuma maombi – siku ya tatu
- BRELA kupitia maombi, kuhakiki na kutoa mapendekezo kama yapo – siku ya nne, saa nyingine hapa huchukua siku nyingi zaidi hadi 3 au zaidi ya hapo
- Kuyafanyia kazi mapendekezo ya BRELA kama yapo kama hayapo ndio mwisho. Kama yapo baadhi ya sehemu ya hatua ya 3 inaanza tena na kufuata mlolongo wote – siku ya tano
- Kumalizia malipo 40% na kukabidhiwa vyeti na MemArt PDF copy iliyosainiwa
Maelezo zaidi ya namna ya kusajili biashara au kampuni BRELA
- Hatua 10 Rahisi za Kufuata ili Kusajili Kampuni Kupitia Website ya BRELA
- Hatua 10 Rahisi za Kufuata ili Kusajili Jina la Biashara Kupitia Website ya BRELA
Mwisho (End):
Kama umependa makala hii weka maoni yako ya shukrani hapo chini au washirikishe marafiki zako wa kwenye Facebook, Instagram, Linkedin, Whatsapp, Twitter na kwenye email au mitandao mingine ya kijamii. Wasiliana nasi kama unataka kuweka kwenye blogu au website yako kwa maelekezo zaidi
If you found this article helpful please leave the comment below or share to your friends in Facebook, Instagram, Linkedin, Whatsapp, Twitter and in email or other social media. Contact us if you plan to list in your blog or website for further instructions.
__________________________________________________
We offer but not limited to the following:
Business Office Documents Development, Company Registration, Business Plan Development, Curricula Development for colleges, Office Digitization Consultancy, Online Presence and Marketing Consultancy, Leadership and Management Consultancy, Constitution Development and much more
English Form | Fomu ya Kiswahili |
[…] Kusajili wa kampuni ya kati hisa za zaidi ya Shs milioni 50 […]