Register

fourteen + 16 =

A password will be e-mailed to you.

Notice: Undefined index: name in /home/jewajua/ujasiriamali.co.tz/wp-content/plugins/caldera-forms/classes/render/modals.php on line 164

Notice: Undefined index: name in /home/jewajua/ujasiriamali.co.tz/wp-content/plugins/caldera-forms/classes/core.php on line 4383

Notice: Undefined index: name in /home/jewajua/ujasiriamali.co.tz/wp-content/plugins/caldera-forms/classes/render/modals.php on line 164

Notice: Undefined index: name in /home/jewajua/ujasiriamali.co.tz/wp-content/plugins/caldera-forms/classes/core.php on line 4383

Usajili wa Kampuni Yenye Hisa Kati ya 1m -5m

Maelezo

Kiasi

Gharama za BRELA
1.    Hisa kati ya
a.    20k-1m – TZS.95,000
b.  1-5 m– TZS.175,000 175,000.00
c.    5-20m– TZS.260,000
d.    20-50m– TZS.290,000
e.    >50m – – TZS.440,000
2.    Kampuni isiyo na hisa =TZS. 300,000
1.    Ada ya kuhifadhi nyaraka 72,200.00
Jumla 247,200.00
Gharama za Ushauri
2.    MemArts  kwenye mfumo wa pdf 100,000.00
3.    Muhuri wa mwanasheria wa uma 150,000.00
4.  Gharama za ushauri TZS. 200,000 +
a.    20k-1m – TZS.100,000
b.  1-5 m– TZS.200,000 400,000.00
c.    5-20m– TZS.250,000
d.    20-50m– TZS.300,000
e.    >50m – – TZS.500,000
f.     Kampuni isiyo na hisa= 150,000.00
5.    Ufuatiliaji na dharura 400,000.00
Jumla 1,050,000.00
Jumla Kuu

 1,297,200.00

 

Gharama za usajili wa kampuni BRELA kwa ufupi ni

Hatua saba (7) muhimu za kufuata wakati wa kufanya usajili wa kampuni au jina la biashara

  1. Kulipia angala 60% ya malipo yote, Kutuma taarifa zinazotakiwa (taarifa za kampuni, wenye hisa, wakurugenzi, katibu, hisa nk) – siku ya kwanza
  2. Utengenezaji wa nyaraka muhimu za usajili na kupigwa muhuri wa mwanasheria – siku ya pili
  3. Kuanza mchakato wa maombi masafa na kupakia taarifa kwenye mtandao  – siku ya tatu
  4. Kufanya malipo ya usajili BRELA na kutuma maombi – siku ya tatu
  5. BRELA kupitia maombi, kuhakiki na kutoa mapendekezo kama yapo – siku ya nne, saa nyingine hapa huchukua siku nyingi zaidi hadi 3 au zaidi ya hapo
  6. Kuyafanyia kazi mapendekezo ya BRELA kama yapo kama hayapo ndio mwisho. Kama yapo baadhi ya sehemu ya hatua ya 3 inaanza tena na kufuata mlolongo wote – siku ya tano
  7. Kumalizia malipo 40% na kukabidhiwa vyeti na MemArt PDF copy iliyosainiwa

Maelezo zaidi ya namna ya kusajili biashara au kampuni BRELA

Mwisho (End):

Kama umependa makala hii weka maoni yako ya shukrani hapo chini au washirikishe marafiki zako wa kwenye Facebook, Instagram, Linkedin, Whatsapp, Twitter na kwenye email au mitandao mingine ya kijamii. Wasiliana nasi kama unataka kuweka kwenye blogu au website yako kwa maelekezo zaidi

If you found this article helpful please leave the comment below or share to your friends in Facebook, Instagram, Linkedin, Whatsapp, Twitter and in email or other social media. Contact us if you plan to list in your blog or website for further instructions.

__________________________________________________
We offer but not limited to the following:
Business Office Documents Development, Company Registration, Business Plan Development, Curricula Development for colleges, Office Digitization Consultancy, Online Presence and Marketing Consultancy, Leadership and Management Consultancy, Constitution Development  and much more

English Form

Fomu ya Kiswahili


4 Responses

Leave a Reply