Register

18 + 11 =

A password will be e-mailed to you.

Notice: Undefined index: name in /home/jewajua/ujasiriamali.co.tz/wp-content/plugins/caldera-forms/classes/render/modals.php on line 164

Notice: Undefined index: name in /home/jewajua/ujasiriamali.co.tz/wp-content/plugins/caldera-forms/classes/core.php on line 4383

Notice: Undefined index: name in /home/jewajua/ujasiriamali.co.tz/wp-content/plugins/caldera-forms/classes/render/modals.php on line 164

Notice: Undefined index: name in /home/jewajua/ujasiriamali.co.tz/wp-content/plugins/caldera-forms/classes/core.php on line 4383

Gharama za usajili wa kampuni BRELA kwa ufupi ni

Usajili wa kampuni unategemea mambo kadha wa kadha kama ifuatavyo

NaMELEZO YA ADAKIASI KTK TSHS

Gharama za BRELA

Kampuni ambayo hisa zake za nomino ni:

– Kati ya Tshs. 20,000/= na Tshs. 1,000,000/=95,000
– Kati ya Tshs. 1,000,000/= na Tshs. 5,000,000/=175,000
– Kati  ya Tshs. 5,000,000/= na Tshs. 20,000,000/=260,000
– Kati ya Tshs. 20,000,000/= na Tshs. 50,000,000/=290,000
– Zaidi ya Tshs. 50,000,000/=440,000
Kampuni isiyo na hisa – company by guarantee300,000
Kufaili taarifa muhimu na mhuri82,200
Kuomba kuwekewa jina – name reservation50,000
Kubadili jina la kampuni22,000
Kupokea au kusajili kwa msajili taarifa ambayo kisheria lazima itumwe kwake22,000
Faini ya kuchelewesha kufaili kwa mwezi kwa kila taarifa2,500
Ada ya kufaili kwa mwaka – annual return fee22,000
Kuthibitisha taarifa kwa kila ukurasa3,000
Kutafuta faili lolote kwa kila faili3,000
Kupewa ripoti iliyoandikwa ya utafutaji wowote kwa kila faili22,000
Ada inayotakiwa kulipwa na kampuni ambapo sehemu ya XII sheria inahitaji kufanya hivyo

Gharama zetu

Kutengeneza MemArt pdf

 

100,000

Kuchapa kitabu cha ziada kwa kila kitabu20,000
Kuthibitisha kwa mwanasheria kwa kila kitabu (vitabu vitatu)150,000
Gharama ufuatiliaji na dharura400,000
Gharama za Utaalamu300,000 – 700,000

 

Gharama za usajili wa kampuni BRELA kwa ufupi ni

Hatua saba (7) muhimu za kufuata wakati wa kufanya usajili wa kampuni au jina la biashara

  1. Kulipia angala 60% ya malipo yote, Kutuma taarifa zinazotakiwa (taarifa za kampuni, wenye hisa, wakurugenzi, katibu, hisa nk) – siku ya kwanza
  2. Utengenezaji wa nyaraka muhimu za usajili na kupigwa muhuri wa mwanasheria – siku ya pili
  3. Kuanza mchakato wa maombi masafa na kupakia taarifa kwenye mtandao  – siku ya tatu
  4. Kufanya malipo ya usajili BRELA na kutuma maombi – siku ya tatu
  5. BRELA kupitia maombi, kuhakiki na kutoa mapendekezo kama yapo – siku ya nne, saa nyingine hapa huchukua siku nyingi zaidi hadi 3 au zaidi ya hapo
  6. Kuyafanyia kazi mapendekezo ya BRELA kama yapo kama hayapo ndio mwisho. Kama yapo baadhi ya sehemu ya hatua ya 3 inaanza tena na kufuata mlolongo wote – siku ya tano
  7. Kumalizia malipo 40% na kukabidhiwa vyeti na MemArt PDF copy iliyosainiwa

Maelezo zaidi ya namna ya kusajili biashara au kampuni BRELA

Mwisho (End):

Kama umependa makala hii weka maoni yako ya shukrani hapo chini au washirikishe marafiki zako wa kwenye Facebook, Instagram, Linkedin, Whatsapp, Twitter na kwenye email au mitandao mingine ya kijamii. Wasiliana nasi kama unataka kuweka kwenye blogu au website yako kwa maelekezo zaidi

If you found this article helpful please leave the comment below or share to your friends in Facebook, Instagram, Linkedin, Whatsapp, Twitter and in email or other social media. Contact us if you plan to list in your blog or website for further instructions.

__________________________________________________
We offer but not limited to the following:
Business Office Documents Development, Company Registration, Business Plan Development, Curricula Development for colleges, Office Digitization Consultancy, Online Presence and Marketing Consultancy, Leadership and Management Consultancy, Constitution Development  and much more

English Form

Fomu ya Kiswahili


About The Author

Lemburis Kivuyo is a Busi­ness, IT and Com­mu­nity Related Project Consultant. Specialized in Business Establishment, Leadership training, Online Marketing, Small groups and teams leadership and management, Curriculum Development, Constitution development and much more.

Related Posts

4 Responses

Leave a Reply