Aina Kuu 4 za Uongozi – 4 Leadership Styles Lemburis Kivuyo April 21, 2018 UongoziKuna aina kuu nne zilizo rasmi za staili za uongozi kama ifuatavyo:Autocratic/Authoritative Leadership Style- uongozi wa kutoa amri na unafaa sana kwenye uongozi wa kimila na kidini Dictatorship Lead...