Nini Maana Halisi ya Uzalendo na nani ni Mzalendo wa Kweli?
UTANGULIZIUzalendo ni hali ya mtu kuipenda, kuithamini na kujitoa kwa ajili ya nchi yake. Mzalendo wa kweli daima anaweka maslahi ya nchi mbele na ya kwake binafsi nyuma. Kwa maana hiyo hapo juu, mzalendo ni...