Jinsi au Namna Rahisi ya Kuweka Vipaumbele Lemburis Kivuyo March 25, 2018 Kutunza muda, Mafunzo, Uongozi wa Mradi1Maana na TafsiriMuda ni rasilimali isiyoshikika lakini yenye dhamani kubwa sawa na maisha ya mtu. Muda ni rasilimali zaidi ya mali na pesa.Duniani kuna rasilimali za aina kuu nneFedha Vitu tunav...