Uongozi na Utawala Bora (Hii ni elimu ya uongozi na utawala bora kwa watoto, vijana na watu wazima wanayopewa ili waweze kumudu nafasi walizopewa katika kuongoza kundi husika kwenye mafanikio)
Uongozi na Utawala Bora (Hii ni elimu ya uongozi na utawala bora kwa watoto, vijana na watu wazima wanayopewa ili waweze kumudu nafasi walizopewa katika kuongoza kundi husika kwenye mafanikio)
Kuna aina kuu nne zilizo rasmi za staili za uongozi kama ifuatavyo:Autocratic/Authoritative Leadership Style- uongozi wa kutoa amri na unafaa sana kwenye uongozi wa kimila na kidini
Dictatorship Lead...
Jifunze namna bora ya kuandika mpango mkakati kwa ajili ya kikundi, ofisi au shirika lako.Ili uweze Kuandika Mpango Mkakati, kwanza tujue mpango mkakati ni nini na unatakiwa wakati gani?Mpango mkakati ni ta...
Maana na TafsiriMuda ni rasilimali isiyoshikika lakini yenye dhamani kubwa sawa na maisha ya mtu. Muda ni rasilimali zaidi ya mali na pesa.Duniani kuna rasilimali za aina kuu nneFedha
Vitu tunav...
UTANGULIZIUzalendo ni hali ya mtu kuipenda, kuithamini na kujitoa kwa ajili ya nchi yake. Mzalendo wa kweli daima anaweka maslahi ya nchi mbele na ya kwake binafsi nyuma. Kwa maana hiyo hapo juu, mzalendo ni...