Ifuatayo hapa chini ni mfano wa uandishi wa dondoo za mkutano au kikao chochote. Maoni ya namna ya kuboresha yanakaribishwaMaelezo ya ziadaTDG = Kifupi cha Tumaini Development Group
5 = mkutano wa ...
Tumaini Development Group
SLP 12908, ArushaKumb Na. TM/ME/12901Kwa wajumbe woteYah: Taarifa ya Wito kwa Mkutano wa 5 wa Kikundi cha Tumaini utakaofanyika Arusha Hall Tarehe 12/4/2012 Saa 4 Asubuhi
...
Kuandika dondoo za mkutano ni kazi rahisi kama kuna maandalizi ya kutosha lakini pia ni kazi ngumu kama hakuna maandalizi bayana kabla ya mkutano.Maandalizi kabla ya mkutanoHakikisha sehemu ya ukumb...
Maana ya Ripoti
Ripoti ni maelezo au taarifa juu ya kazi iliyokwisha fanywa ambayo huandikwa kwa ajili ya kufanyiwa maamuzi na kuwekwa kumbukumbu kwa matumizi ya baadaye. Ripoti inaweza kuwasilishwa kwa njia y...