Register

5 + 6 =

A password will be e-mailed to you.

Kubuni Miradi

Uchambuzi wa wadau wa mradi

Uchambuzi wa wadau wa mradi

Wadau wa mradi ni watu au taasisi ambazo zinahusika kwa naman moja au nyingine katika maendeleo ya eneo mradi ulipo. Wadau wanaweza kuwa ni wakazi, wafanyakazi, wageni, wafanyabiashara, au mashirika na taasisi ...
Jinsi Ya Kuandika Andiko La Mradi

Jinsi Ya Kuandika Andiko La Mradi

Andiko la Mradi ni maelezo yanayoelezea mradi husika kwa kujibu maswali ya vihatarishi vya mradi, fursa zilizopo, rasilimali na jinsi vitakavyotumika, mpangilio mzima wa kuutekeleza mradi ikiwa ni pamoja na uongozi na usimamizi, mpango endelevu wa mradi kwa hapo baadaye kwa upande wa kitaasisi na kifedha
Bajeti ya Mmradi Mzima

Bajeti ya Mmradi Mzima

Bajeti ya mradi mzimaJumla ya gharama za mradi ni kiasi gani Mchanganuo wake kulingana na maelezo yote ya mradi na malengo Mgawanyiko wa gharama hizo ni nini ? Yaani fedha inayo kwenda moja kwa moja...
Uendelevu wa Mradi

Uendelevu wa Mradi

 Uendelevu wa MradiNi mikakati ipi umeweka ya kuendeleza mradi huu Mikakati ya kishirika na kitaasisi Mikakati ya kifedha kwaajili ya uendelevu wa mradi Mikakati ya Kijamii na kiutamaduni kuling...