Hatua Tano (5) za Kuanzisha na Kusajili Shule ya Msingi au Sekondari
3
Ili kuanzisha na kusajili Shule yenye ubora unaostahili wadau hawana budi kufuata hatua mbalimbali kama zilivyoainishwa kwa kina katika “Mwongozo wa Usajili wa Shule wa mwaka 1982”. Kwa kifupi hatua hizo ni ka...