Register

sixteen − 11 =

A password will be e-mailed to you.

Mambo Mengine

Katiak eneo hili tutaweka mafunzo na mada mbalimbali ambazo hazikuweza kupata nafasi katika meeneo mengine yaliyokwishawekwa hapo mbeleni

Mpango Kazi

Kuandika Mpango wa Kazi

Mpango Kazi ni maelezo ya namna utakavyofanya kazi kwa mtiririko na utaratibu utakaoleta tija tarajiwa. Kiingereza wanaita Action Plan au Plan of Action.Mpango Kazi unajumuisha LENGO KUU na Malengo madogo mad...
Kuandika Mpango Mkakati

Kuandika Mpango Mkakati

Ninafundisha namna ya kuandika kwa urahisi mpango mkakati kuanzia ukusanyaji wa taarifa, uchambuzi wa mahitaji na uandishi wenywe, pia ninaandika mpango mkakati kwa bei rahisi kwa vikundi, mashirika, vyuo, shul...