Ujasiriamali ni neno la kiswahili linalotokana na maneno mawili yafuatayoUjasiri
Wa maliHii ina maana ya mtu mwenye ujasiri wa kuwekeza mali alizonazo ili apate faida
UtanguliziMafanikio ni hali ambayo kila mtu anapenda kuwa nayo na kuyafikia kila mara. Mafanikio humfanya mtu afarijike, ajisikie yuko salama, afurahi na kusonge mbele kwa ujasiri zaidi. Mafanikio humfanya mh...
“BWANA akamwambia, Ni nini hiyo uliyo nayo mkononi mwako? Akasema, Ni fimbo.” Kutoka 4:2Hakika ulichonacho MKONONI inatosha kabisa kubadili maisha yakoMusa alishika fimbo tu hakuwa na kitu kingineWewe u...