Jinsi ya Kupata Ufadhili Kupitia Interneti Lemburis Kivuyo April 15, 2018 Huduma, KusomaIfuatayo ni hatua rahisi za kutafuta ufadhili kupitia internet. Ufadhili waweza kuwa ni ule wa kusoma nje, kufanya tafiti, miradi ya kijamii, shule, kanisa nkWeka mpango mkakati wa kuinua mradi husika ...