Kufundisha Elimu ya Ujasiriamali Lemburis Kivuyo April 7, 2018 KufundishaNinafundisha elimu ya ujasiriamali kwa vikundi, mashirika, vyuo, shule, makanisa, NGO, CBO na watu binafsi. Hii elimu inasaidia sana mabadiliko ya kitabia ambayo ndio nguzo na daraja muhimu kufikia ujasiriamali...