Taratibu za Kusajili NGO/CBO na Gharama Zake
1.0 TARATIBU ZA USAJILIUsajili wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali unaofanyika chini ya sheria ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali, Na. 24 ya mwaka 2002 umegawanywa katika ngazi nne kama ifuatavyo:1.1 Ngazi ya...
Jinsi ya Kupata Ufadhili Kupitia Interneti
Ifuatayo ni hatua rahisi za kutafuta ufadhili kupitia internet. Ufadhili waweza kuwa ni ule wa kusoma nje, kufanya tafiti, miradi ya kijamii, shule, kanisa nkWeka mpango mkakati wa kuinua mradi husika
...
Jinsi ya Kuandika na Kutengeneza CV/Wasifu
Uandishi wa CV unategemea sana secta husika, CV za wahandisi ni tofauti na za wanasheria au waalimu nk.Lakini CV zote zinafuata mlolongo huu hapa chiniKichwa cha habari -mfano CV au Resume
Taarifa ...
Namna ya Kukokotoa Bei/Gharama za Kuandika Andiko la Mradi
Ninafanya na kufundisha namna rahisi ya kuandika andiko la mradi kuanzia zile za miradi midogo mpaka mpaka miradi mikubwaAndiko la mradiGharama ni asilimia 3 ya bajetiViwango ni katika Shilin...
Namna Bora ya Kuandika Katiba ya NGO, CBO au Kikundi Chochote
UtanguliziIfuatayo hapa chini ni mwongozo wa Namna bora ya kuandika katiba ya mashirika yasiyo ya kiserikali au vikundi. Mambo muhimu katika kuandika katiba yameorodheshwa hapa chini.Uandishi wa katiba hali...
Jinsi ya Kuanzisha na Kuendesha Biashara ya Madini
UtanguliziUchimbaji wa madini ni kuyatoa madini kutoka ndani ya ardhi kuja nje na kuyapa dhamani kwa kukata (vito vya dhamani) au kusafisha (metali) kwa ajili ya matumizi ya binadamu. Uchimbaji wa madini inah...