Ninafanya na kufundisha namna rahisi ya kuandika andiko la mradi kuanzia zile za miradi midogo mpaka mpaka miradi mikubwaAndiko la mradiGharama ni asilimia 3 ya bajetiViwango ni katika Shilin...
Ifuatayo ni hatua 7 rahisi za namna ya kupata ufadhili wa kusoma ndani au nje ya nchi ili kuboresha taaluma yako.Weka mpango mkakati wa kuinua taaluma yako
Tafiti na changanua vyuo na au taasisi zin...
UtanguliziIfuatayo hapa chini ni mwongozo wa Namna bora ya kuandika katiba ya mashirika yasiyo ya kiserikali au vikundi. Mambo muhimu katika kuandika katiba yameorodheshwa hapa chini.Uandishi wa katiba hali...
Ninafundisha namna rahisi ya kupata scholarship nje ya nchi. Pia ninafanya kazi hiyo mwenyewe tukielewana kwa malipo rahisi tu. Wallengwa ni mashirika, vyuo, makanisa, NGO, CBO na watu binafsi. Nk...
Ninafundisha namna rahisi ya kupata chuo nje ya nchi. Pia ninafanya kazi hiyo mwenyewe tukielewana kwa malipo rahisi tu. Wallengwa ni mashirika, vyuo, makanisa, NGO, CBO na watu binafsi. Nk...
Ninafundisha namna rahisi ya kupata mtaji wa kuendeshea biashara. Wallengwa ni vikundi, mashirika, vyuo, shule, makanisa, NGO, CBO na watu binafsi. Nk...
Mpango Kazi ni maelezo ya namna utakavyofanya kazi kwa mtiririko na utaratibu utakaoleta tija tarajiwa. Kiingereza wanaita Action Plan au Plan of Action.Mpango Kazi unajumuisha LENGO KUU na Malengo madogo mad...
Ninafundisha namna ya kuandika kwa urahisi Mkataba wa Wafanyakazi, pia ninaandika Mkataba wa Wafanyakazi kwa bei rahisi kwa vikundi, mashirika, vyuo, shule, makanisa, NGO, CBO na watu binafsi....
Ninafundisha namna ya kuandika kwa urahisi andiko la mradi, pia ninaandika andiko la mradi kwa bei rahisi kwa vikundi, mashirika, vyuo, shule, makanisa, NGO, CBO na watu binafsi....