Jinsi ya kuanzisha biashara
Malelezo ya hatua mbalimbali za kufuata ili kuanzisha biashara inayokaa na kuendelea yameelezwa katika kiunganishi hiki
Hatua 26 za Kufuata Katika Kuanzisha Biashara Ndogondogo
Ninafundisha namna ya kuanzisha...
Biashara na Ujasiriamali (Biashara na ujasiriamali ni elimu ambayo mtu anapaswa kuwa nayo ili kutumia ujuzi huo sio tu kutatua matatizo yake ya kifedha bali [ia kuyatatua matatizo yanayowazungukla jamii yake na Taifa kwa ujumla)
Ujasiriamali na biashara inagusa maeneo haya:
-Kubuni na Kuanzisha
-Kusimamia Biashara
-Uongozi wa Biashara
-Kumbukumbu
-Fedha na Mali
-Ripoti na Nyaraka
-Kutathmini Biashara
-Ukaguzi wa Biashara
-Kodi na Sheria
-Makala Mabalimbali
-Biashara kwa jinsia
-Biashara kwa Vijana
-Biashara kwa watoto
-Biashara kwa wazee
-Biashara kwa waajiriwa