Benki ni mkopeshaji mkubwa na mgumu kwa mazingira ya Tanzania. Pamoja na hayo benki wana masharti maalumu ambazo nazo hutofautiana kulingana na nani anakopa, anaokopa kiasi gani na kwa ajili ya biashara ipi na ...
Njia za kupata Mtaji wa biashara: Baada ya kuamua kuingia katika ujasiriamali, sasa unahitaji mtaji wakufanyia na kukuzia biashara yak. Swali, wapi utapata huo mtaji nk. Mlolongo huu hapa chini utakusaidia kujua ni wapi utapata huo mtaji wa biashara
Upatikanaji wa mkopo unategemea sana mahitaji ya biashara yako kimtaji na mtandao wako wa jamaa, ndugu na marafiki na ndugu.Njia rahisi ya kupata mkopo ni:Mkopo kutoka kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki wa...