Gharama za Kusajili Alama za Biashara na Huduma (Nembo)
Tafsiri ya ManenoAlama za biashara (Trademark, Trade-Mark, Trade Mark) ni jina au nembo iliyobuniwa na kutambulika kisheria kutambulisha bidhaa fulani miongoni mwa bidhaa shindani.Alama za huduma (Servicema...